Usiku Mwema, Kipenzi Changu! by KidKiddos Books
Synopsis
Alex anaona ni vigumu kupata usingizi, hivyo basi anaanza kutoa visingizio. Baada ya kusoma hadithi ya kulala, baba yake anapendekeza wafanye mpango wa ndoto ambayo angependa kuota baada ya kulala. Ng’amua wanakopelekwa na uwezo wao wa kufikiri huku wakipanga ndoto ya Alex pamoja.
Hadithi hii ya kulala itasaidia watoto wahisi wanapendwa na wametulia, ikiwaandaa kwa usiku uliojaa amani na usingizi mzuri.
Reviews
Write your review
Wanna review this e-book? Please Sign in to start your review.